WELCOME

"Experience is not what happens to you; it is what you do with what happens to you." and "When you feel like giving up, remember why you held on for so long in the first place"Instead of giving myself reasons why I can't, I give myself reasons why I can." because always "When one door closes another door opens; but we so often look so long and so regretfully upon the closed door, that we do not see the ones which open for us."by ISI H


Friday, August 30, 2013

WATU MATAJIRI BONGO {TANZANIA} JE UNAWAJUA HAWA APA

Watanzania matajiri zaidi ni akina nani?Au kwa lugha nyingine,watu wanaomiliki mali nyingi zaidi Tanzania ni akina  nani?Bila shaka hayo ni maswali ambayo watanzania wamekuwa wakijiuliza na wenginne hata kubishana kuhusu matajiri katika jitihada za kutaka kujua nani ni tajiri zaidi ya mwingine na ana utajiri wa aina gani


Kwa hakika Tanzania ina matajiri wengi tu na makala hii ina lengo la kuwalinganisha ili kuwajua.Hapa chini ni orodha ya baadhi ya watanzania matajiri na utajiri wanaomiliki.

1. Said Salim Awadh Bakhresa.Huyu ni mwanzilishi na mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Tanzania.Mbali na kuwa mmiliki wa viwanda na mjasiliamali,Bakhresa pia ni mtoaji mkubwa wa misaada ya kijamii Tanzania ambae ameunda himaya kubwa ya kibiashara yenye mafanikio,inayojumuisha viwanda kadhaa,ndani ya miaka. 30

                                            
Kwa hiyo hakuna shaka kuwa Bakhresa ni mmoja wa matajiri wakubwa nchini TanzaniaHimaya yake ya kibiashara ni kubwa,iliyosambaa sehemu mbali mbali za Tanzania hadi Msumbiji,Uganda na Malawi.Baadhi ya utajiri alikuwa nao Bakhresa ni pamoja na:

  • Kiwamda cha kusaga nafaka
  • Vyombo vya usafiri wa kwenye maji
  • Uuzaji na usambazaji wa bidhaa za plastic
  • Biashara kubwa ya vyakula na vinywaji




2. Aziz Aboud.Huyu ni tajiri mwingine wa Tanzania.Tajiri huyu amewekeza kwenye sekta nyingi za kiuchumi kama vile vyombo vya kusafirisha abiria,vyombo vya habari na mawasiliano(ana miliki kituo cha redio na cha televisheni),viwanda vya vyakula na kampuni inayotengeneza magari makubwa ya mizigo.



3.Nasoro.Tajiri huyu ana mlolongo mkubwa wa vitega uchumi.Unapozungumzia uchumi wa Tanzania,hautokuwa umeutendea haki iwapo hautotaja biashara za tajiri huyu.Biashara anazomiliki ni pamoja na
  • Ana miliki majengo kadhaa nchini kote
  • Mabasi ya abiria(mabasi ya Super star na Royal)
  • kusimamia uchukuzi wa mizigo(matrela ya Super Doll)
  • Pia ana hisa kubwa katika kampuni ya sukari Mtibwa
                                                
4.Mohamed Dewji.Mohamed Dewji ni tajiri maarufu nchini Tanzania.Ana mlolongo mkubwa wa vitega uchumi na biashara,kuanzia viwanda,majengo ya kupangisha makazi na biashara na anamiliki hisa katika makampuni mengi makubwa ya Tanzania
                                     
5.Reginald Abraham Mengi .Ni Watanzania wachache sana ambao watakwambia hawamjui Reginald Mengi.Huyu ni mmiliki wa viwanda,mjasiliamali na kigogo wa vyombo kadhaa vya habari.Mengi ndiye anaemiliki makampuni ya IPP,moja kati ya miungano mikubwa ya makampuni inayomilikiwa na wat binafsi katika ukanda huu.Kampuni hii makao yake makuu yapo jijini Dar Es Salaam.Mbali ya makampuni ya IPP Mengi pia anahusika kwa kiasi kikubwa kwenye
  • Kampuni ya ushauri ya IPP
  • Kiwanda cha Coca-cola(Bonite na uzalishaji wa maji ya kunywa ya Kilimanjaro)
  • IPP Media ambayo ni mjumuiko wa vyombo kadhaa vya habari,ambayo inatoa magazeti ya The Guardian,Nipashe,vituo vya televisheni  vya ITV,EATV, na vituo vya redio SKY FM na East Africa Radio
                            
6.Michael Ngaleku ShirimaInaaminika kuwa ana hisa nyingi katika makampuni makubwa mbalimbali ya Afrika Mashariki.Na pia ni mmoja wa wamilikim wa Precision Air amabayo ni kampuni ya ndege inayojishughulisha na kusafirisha abiria na mizigo katika Afrika Mashariki
                                    

7.Fida Hussein Rashid.Huyu naye ni mmoja wa matajiri wakubwa nchini Tanzania.Huyu ni mfanyabiashara mkubwa anaejihusha na
  • Kampuni ya kuunda mabodi ya magari(Africarriers)
  • Upangishaji wa majengo  kwa ajili ya makazi na biashara,ikwa ni pamoja na Raha Tower na Zahra Tower
                                                              
8.Yussuf Manji.Huyu naye,kama ilivyo kwa Bakhresa, Mengi na Dewji ni mmoja wa matajiri wanaojulikana sana na jamii kutokana na kujitokeza mara kwa mara kwenye shughuli za kijamii kama michezo na kadhalika.Yeye ni mmoja wa wahusika katika baadhi ya makampuni makubwa kabisa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki, na pia anamiliki raslimali nyingi kama majengo kwa ajili ya makazi na shughuli za kibiashara,kampuni ya inayoshughulika na uunganishaji wa magari.Ni mmiliki wa makampuni ya Quality Group.

                                                

9.Nazir Mustafa Karamagi.Huyu ndie anamalizia orodha ya watu matajiri zaidi nchini Tanzania huyu ni mfanyabiashara mwenye mafanikio anaemiliki kampuni kubwa maarufu nchini Tanzania inayojishughulisha na makontena.
                                       
Kwa kumalizia tu,zaidi ya hao waliotajwa hapo juu,kuna Watanzania wengine ambao wanaaminika kuwa ni miongoni mwa matajiri wakubwa nchini Tanzania,Hao ni....
  • Edward Ngoywai Lowasa
  • Mohamed Aboud
  • Abass Tarimba
  • Philemon Ndesamburo 

Friday, August 23, 2013

WHY BOYS ARE BETTER THAN GIRLS

                                              
Boys can sit in front of a scary movie and not close their eyes once.
Boys dont have to sit down every time they go.
Boys dont get embarrassed easily.
Boys can go to the bathroom in the woods.
Boys can climb trees better.
Boys can hang onto their stomachs on fast rides.
Boys dont worry about diet this and diet that.
Boys are better tractor drivers than girls.
Boys rite better than girls.
Boys can build better forts than girls.
Boys can take pain better than girls.
Boys are way more cooler.
                                               
Boys have less fits.
Boys dont waste their life at the mall.
Boys arent afraid of reptiels.
Boys shave more than girls.
Boys dont do all those wiggaly movmets when they walk.
Boys dont scratch.
Boys dont brade anothers hair.
Boys arent smart alickes.
Boys dont cry and feel sorry when they kill a fly.
Boys dont use as much deoderent.
Boys were created first.
                      
Boys learn to make funny noises with their armpits faster.
Boys can tie better knots specially girls pony tails.
Boys get to blow up more stuff.
Without boys there would be no babies. (Now there is a new thought).
Boys eat with a lot of heart.
Boys dont WINE.
Boys hum best.
Boys are proud of their odor.
The list was compiled from what the boys thought of themselves vis--vis girls. One thing is, however indisputable between girls and boys; boys make more spelling errors than girls if we compare the two lists. Whether this means that girls are more better than boys is debatable. I personally think that both boys and girls are more better and so I love them equally.

Monday, August 19, 2013

HAYA ALIYASEMA LOWASA KUHUSU AJIRA TANZANIA

Lowasa ameyasema hayo jana jijini Mwanza wakati akizungumza na waumini wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Nyakato kabla ya kuanzisha harambee maalum ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo.
                                                               
Amesema kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mwaka 2006 unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 12 ya vijana hawana ajira na wengi wa vijana hao wako mijini, asilimia 15 ya vijana nchini kati ya milioni 25 za vijana ndio wenye ajira, ilihali asilimia 70 ya vijana wenye umri kati ya miaka 13 -34 ni kundi kubwa ambalo ni tegemezi na halina ajira na hii ni kati ya nguvu kazi ya vijana milioni mbili na nusu ambao wako mijini na hawana ajira.
                                            
Amefafanua kuwa wakati hali hiyo ikitokea vijana 850,000 ambao wamekuwa wakihitimu elimu ya