Shirika la ONE ACRE FUND lililo anzia nchini kenya na likaendelea kukua nchini rwanda na burundi sasa lipo nchini tanzania limesaidia wakulima wengi zaidi maeneo ya kusini mwa tanzania (IRINGA).
wameweza kutoa mikopo kwa wakulima wadogowadogo na kuwawezesha pembejeo mbalimbali ili kukidhi mahitaji na kufikia lengo ambalo mkulima alihitaji afike. pia hufanya utafiti mbalimbali kwa wakulima na kuangalia kama wao wanakua pia huakikisha wakulima wanakua mpaka pale kwenye kilele.
0NE ACRE FUND sisi hatusemi KILIMO KWANZA sisi tunasema WAKULIMA KWANZA na VUNA ZAIDI. Jiunge na ONE ACRE FUND kurahisisha maisha yako mkulima. VUNA VUNA VUNA VUNA ZAIDIIIIII.
No comments:
Post a Comment