Mtangazaji wa kipidi cha THE MBONI SHOW kinacho rushwa na televisheni ya EATV yupo mkoani iringa akijumuika na watoto yatima katika kusheherekea.
ghafla iyo imejumuisha zaidi ya watoto 200 mkoani hapa na imechukua vituo vitatu tu ikiwemo tosamaganga, upendo center na kituo kilichoko wilaya ya mufindi kiitwacho moyo kwa moyo.
mbali na hapo alipata fursa ya kuendesha kpindi chake pamoja na watoto hao. sherehe hizi zlifanyika katika ukumbi wa highland uliopo iringa mjini.
No comments:
Post a Comment