Ni kiongozi aliejali na kuhakikisha nchi ya Afrika kusini inakua inatawaliwa na waafrika kusini hii ndio ilikua azimio lake kubwa na akafanikiwa katika hili pia ndio swala lililo onekana ni jambo busara kwa watu wengi duniani na ndilo lililo mpa mtu huyu ari pamoja na kufungwa na makaburu hakujali hilo aliendelea kupambana kupinga itikadi za ubaguzi wa rangi. yeye alikua mwalimu kwa watu wengi.
Mzee Nelson Mandela maarufu kama Mzee Madiba amefariki akiwa na umri wa miaka 95 Mungu ailaze mahala pema peponi mzee nelson mandela amiin.
ALWAYAYS WE WILL REMEMBER MANDELA
No comments:
Post a Comment