Boti ambayo ina fanya safari zake katika ziwa tanganyika yasadikika imezama na kuuwa watu 12 na mpaka sasa yasadikika watu watatu waokolewa wakiwa hai chanzo cha habari hii ni jamii forum. meli hii imezama maeneo ya kipwa upande wa tanzania. blog hii itaendelea kutafuta habari hii na kukujuza zaidi
No comments:
Post a Comment