Ni chuo maridadi katika masomo ya biashara na kinatoa mafunzo kwa uhakika kwa vitendo na masomo ya computer na kina mandhari ya kuvutia kama uonavyo hapo chini.
hiyo ni sehemu mojawapo ambayo wanafunzi hutumia kupumzikia na kujisomea wakipata upepo mwanana.
hii ni moja ya computer room ambayo wanafunzi hutumia kama sehemu ya kujifunzia na kuongeza ufahamu.
packing kwa ajiri ya magari na ofisi ni vitu muhimu kuwepo katika chuo ndivyo ilivyo pia katika chuo cha iringa retco business college.
kuibiwa mali ni rahisi sana lakini kuibiwa elimu ni ngumu karibuni iringa retco business college upate elimu bora na si bora elimu.
No comments:
Post a Comment